2 Timothy 4:21
Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.
22Bwana awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Amen.
Cross References
Romans 16:21Timotheo, mtendakazi mwenzangu anawasalimu. Vivyo hivyo Lukio, Yasoni, na Sosipatro, ndugu zangu.
2 Corinthians 13:13Watakatifu wote wanawasalimu.
2 Timothy 1:4Nikiyakumbuka machozi yako, ninatamani sana kukuona ili nipate kujawa na furaha.
2 Timothy 4:13Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa na vile vitabu vyangu, hasa vile vya ngozi.
3 John 1:14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.