2 Timotheo 4:22
Bwana awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Amen.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The Lord Jesus Christ be with thy spirit. Grace be with you. Amen.
In Context
Cross References
Romans 1:7Kwa wote walioko Rumi wapendwao na Mungu na kuitwa kuwa watakatifu: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 1 Maombi Na Shukrani
1 Corinthians 16:23Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi.
Galatians 6:18Ndugu zangu, neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Colossians 4:18Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni minyororo yangu. Neema iwe nanyi. Amen.
Philemon 1:25Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Revelation 22:21Neema ya Bwana Yesu iwe na watakatifu wote. Amen.