Amos 1:2
Alisema: 1 “ Bwana ananguruma toka Sayuni, 2 pia ananguruma kutoka Yerusalemu; 1 malisho ya wachunga wanyama yanakauka, 2 kilele cha Karmeli kinanyauka.” 1 Hukumu Juu Ya Majirani Wa Israeli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 25:2Mtu mmoja huko Maoni, aliyekuwa na makao huko Karmeli, alikuwa tajiri sana. Alikuwa na mbuzi elfu moja na kondoo elfu tatu, aliokuwa akiwakata manyoya huko Karmeli.
Proverbs 20:2Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; 2 yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. 1
Isaiah 35:2litachanua maua, 2 litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. 1 Litapewa utukufu wa Lebanoni, 2 fahari ya Karmeli na Sharoni; 1 wataona utukufu wa Bwana, 2 fahari ya Mungu wetu. 1
Jeremiah 12:4Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, 2 na majani katika kila shamba kunyauka? 1 Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, 2 wanyama na ndege wameangamia. 1 Zaidi ya hayo, watu wanasema, 2 “ Bwana hataona yatakayotupata sisi.” 1 Jibu La Mungu 1
Jeremiah 25:30“Basi sasa toa unabii kwa maneno haya yote dhidi yao, uwaambie: 1 “ ‘ Bwana atanguruma kutoka juu; 2 atatoa sauti ya ngurumo 2 kutoka makao yake matakatifu 1 na kunguruma kwa nguvu sana 2 dhidi ya nchi yake. 1 Atapiga kelele kama wao wakanyagao zabibu, 2 atapiga kelele dhidi ya wote waishio duniani. 1
Hosea 13:8Kama dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, 2 nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. 1 Kama simba nitawala; 2 mnyama pori atawararua vipande vipande. 1