Amos 3:9
Tangazeni katika ngome za Ashdodi 2 na katika ngome za Misri: 1 “Kusanyikeni juu ya milima ya Samaria; 2 angalieni wingi wa wasiwasi ulio ndani yake, 2 na uonevu ulio miongoni mwa watu wake.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 29:24Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini Bwana amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”
2 Samuel 1:20“Msilisimulie hili katika Gathi, 2 msilitangaze hili katika 2 barabara za Ashkeloni, 1 binti za Wafilisti wasije wakafurahia, 2 binti za hao wasiotahiriwa 2 wasije wakashangilia. 1
Proverbs 11:16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima, 2 bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 1
Jeremiah 2:10Vuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu + 2:10 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. nawe uangalie, 2 tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini, 2 uone kama kumekuwepo kitu kama hiki. 1
Jeremiah 31:5Utapanda tena shamba la mizabibu 2 juu ya vilima vya Samaria, 1 wakulima watapanda 2 na kufurahia matunda yake. 1
Jeremiah 46:14“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, 2 hubiri pia katika Memfisi + 46:14 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi: + 46:14 Ni mji katika Misri. 1 ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, 2 kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’ 1