Joel 1:8
Omboleza kama bikira aliyevaa nguo ya gunia 2 anayehuzunika kwa ajili ya mume wa ujana wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lament like a virgin girded with sackcloth for the husband of her youth.
In Context
Cross References
Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1
Isaiah 32:11Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, 2 tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! 1 Vueni nguo zenu, 2 vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu. 1
Jeremiah 9:17Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Fikiri sasa! Waite wanawake waombolezao waje, 2 waite wale walio na ustadi kuliko wote. 1
Joel 2:12“Hata sasa,” asema Bwana, 2 “nirudieni kwa mioyo yenu yote, 2 kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza.” 1
Malachi 2:15Je, Bwana hakuwafanya wao kuwa mmoja? Katika mwili na katika roho wao ni wa Mungu. Kwa nini wawe mmoja? Kwa sababu Mungu alikuwa akitafuta mzao mwenye kumcha Mungu. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, mtu asivunje uaminifu kwa mke wa ujana wake.
James 5:1Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.