Amos 5:25
“Je, mliniletea dhabihu na sadaka 2 kwa miaka arobaini kule jangwani, 2 ee nyumba ya Israeli? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Have ye offered unto me sacrifices and offerings in the wilderness forty years, O house of Israel?
In Context
24Lakini acheni haki itiririke kama mto, 2 na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! 1
Cross References
Deuteronomy 32:17Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: 2 miungu wasiyoijua, 2 miungu iliyojitokeza siku za karibuni, 2 miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa. 1
Nehemiah 9:18hata wakati walijitengenezea sanamu ya ndama ya kusubu na kusema, ‘Huyu ni mungu wenu, aliyewapandisha kutoka nchi ya Misri,’ au walipofanya makufuru makubwa.
Isaiah 43:23Hujaniletea kondoo kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa, 2 wala kuniheshimu kwa dhabihu zako. 1 Sikukulemea kwa sadaka za nafaka 2 wala kukuchosha kwa kuhitaji uvumba. 1
Ezekiel 20:16kwa sababu walikataa sheria zangu na hawakufuata amri zangu na wakazinajisi Sabato zangu. Kwa kuwa mioyo yao iliandama sanamu zao.
Hosea 9:9Wamezama sana katika rushwa, 2 kama katika siku za Gibea. 1 Mungu atakumbuka uovu wao 2 na kuwaadhibu kwa ajili ya dhambi zao. 1
Acts 7:42Ndipo Mungu akageuka, akawaacha waabudu jeshi lote la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Manabii: 1 “ ‘Je, mliniletea dhabihu na sadaka 2 kwa miaka arobaini kule jangwani, 2 ee nyumba ya Israeli? 1