Isaya 5:12
Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 21:11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1
Psalms 28:5Kwa kuwa hawaheshimu kazi za Bwana, 2 na yale ambayo mikono yake imetenda, 1 atawabomoa na kamwe 2 hatawajenga tena. 1
Isaiah 5:19kwa wale wanaosema, “Mungu na afanye haraka, 2 aharakishe kazi yake ili tupate kuiona. 1 Huo mpango wa Aliye Mtakatifu wa Israeli na ukamilike, 2 tena udhihirike ili tupate kuujua.” 1
Isaiah 56:12Kila mmoja hulia, “Njooni, tupate mvinyo! 2 Tunywe kileo sana! 1 Kesho itakuwa kama leo, 2 au hata bora zaidi.”
Daniel 5:23Badala yake, umejiinua dhidi ya Bwana wa mbingu. Uliletewa vikombe vya Hekalu lake, nawe na wakuu wako, wake zako na masuria wako mlivitumia kwa kunywea mvinyo. Ukaisifu miungu ya fedha na dhahabu, ya shaba, chuma, miti na mawe, miungu ambayo haiwezi kuona, au kusikia wala kufahamu. Lakini hukumheshimu Mungu ambaye anaushikilia uhai wako na njia zako zote mkononi mwake.
Amos 6:4Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu, 2 na kujinyoosha juu ya viti vya fahari. 1 Mnajilisha kwa wana-kondoo wazuri 2 na ndama walionenepeshwa. 1