The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 27 › Genesis 27:29

Genesis 27:29

Mataifa na yakutumikie 2 na mataifa yakusujudie. 1 Uwe bwana juu ya ndugu zako, 2 na wana wa mama yako wakusujudie. 1 Walaaniwe wale wakulaanio, 2 nao wale wakubarikio wabarikiwe.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let people serve thee, and nations bow down to thee: be lord over thy brethren, and let thy mother’s sons bow down to thee: cursed be every one that curseth thee, and blessed be he that blesseth thee.

In Context

28Mungu na akupe umande kutoka mbinguni 2 na utajiri wa duniani: 2 wingi wa nafaka na divai mpya. 1

30Baada ya Isaki kumaliza kumbariki na baada tu ya Yakobo kuondoka kwa baba yake, ndugu yake Esau akaingia kutoka mawindoni.

Read all of Genesis 27

Cross References

Genesis 12:3Nitawabariki wale wanaokubariki, 2 na yeyote akulaaniye nitamlaani; 1 na kupitia kwako mataifa yote duniani 2 yatabarikiwa.”

Genesis 25:22Watoto wakashindana tumboni mwake, akasema, “Kwa nini haya yanatokea kwangu?” Kwa hiyo akaenda kumuuliza Bwana.

Genesis 25:33Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Hivyo Esau akamwapia, akamuuzia Yakobo haki yake ya kuzaliwa.

Genesis 27:40Utaishi kwa upanga, 2 nawe utamtumikia ndugu yako, 1 lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, 2 utatupa nira yake 2 kutoka shingoni mwako.” 1 Yakobo Anakimbilia Kwa Labani

Genesis 49:8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1

Numbers 23:8Nitawezaje kuwalaani, 2 hao ambao Mungu hajawalaani? 1 Nitawezaje kuwashutumu 2 hao ambao Bwana hakuwashutumu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 27:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 27:28Genesis 27Genesis 27:30 →