The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 8 › Daniel 8:3

Daniel 8:3

Nikatazama juu, na hapo mbele yangu kulikuwa na kondoo dume mwenye pembe mbili, akiwa amesimama kando ya mto, nazo pembe zake zilikuwa ndefu. Pembe moja ilikuwa ndefu kuliko hiyo nyingine, lakini iliendelea kukua baadaye.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then I lifted up mine eyes, and saw, and, behold, there stood before the river a ram which had two horns: and the two horns were high; but one was higher than the other, and the higher came up last.

In Context

2Katika maono yangu, nilijiona nikiwa ndani ya ngome ya Shushani katika jimbo la Elamu. Katika maono nilikuwa kando ya Mto Ulai. + 8:2 Mto Ulai ni mfereji uliokuwa kati ya Shushani na Elymaisi; sasa unaitwa Mto Karuni.

4Nikamtazama yule kondoo dume alivyokuwa akishambulia kuelekea magharibi, kaskazini na kusini. Hakuna mnyama yeyote aliyeweza kusimama dhidi yake, wala hakuna aliyeweza kuokoa kutoka nguvu zake. Alifanya kama atakavyo, naye akawa mkuu.

Read all of Daniel 8

Cross References

Joshua 5:13Basi wakati Yoshua alipokuwa karibu na Yeriko, akainua macho, akaona mtu aliyesimama mbele yake, akiwa na upanga mkononi uliofutwa kwenye ala. Yoshua akamwendea na kumuuliza, “Je, wewe uko upande wetu au upande wa adui zetu?”

Ezra 1:2“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda.

Esther 1:3Katika mwaka wa tatu wa utawala wake, alifanya karamu kwa ajili ya wakuu wake wote pamoja na maafisa. Akawaalika viongozi wa jeshi wa Uajemi na Umedi, wana wa wafalme na wakuu wa majimbo.

Isaiah 21:2Nimeonyeshwa maono ya kutisha: 2 Msaliti anasaliti, mteka nyara anateka nyara. 1 Elamu, shambulia! Umedi, izunguke kwa jeshi! 2 Nitakomesha huzuni zote alizosababisha. 1

Jeremiah 51:11“Noeni mishale, 2 chukueni ngao! 1 Bwana amewaamsha wafalme wa Wamedi, 2 kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli. 1 Bwana atalipiza kisasi, 2 kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. 1

Daniel 5:31naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 8:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 8:2Daniel 8Daniel 8:4 →