Deuteronomy 2:4
Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya ndugu zako ambao ni wazao wa Esau, ambao wanaishi Seiri. Watawaogopa, lakini mwe waangalifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3“Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini.
Cross References
Exodus 15:15Wakuu wa Edomu wataogopa, 2 viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu, 1 watu wa Kanaani watayeyuka, 2
Numbers 20:21Kwa kuwa Waedomu waliwakatalia Waisraeli kupita katika nchi yao, Israeli wakageuka, wakawaacha. 1 Kifo Cha Aroni
Numbers 24:14Sasa ninarudi kwa watu wangu. Lakini njoo, nikuonye kuhusu kile watu hawa watakachowatenda watu wako siku zijazo.” 1 Ujumbe Wa Nne Wa Balaamu
Obadiah 1:10Kwa sababu ya jeuri uliyofanya dhidi ya ndugu yako Yakobo, 2 aibu itakufunika; 2 utaangamizwa milele. 1
Luke 12:15Ndipo Yesu akawaambia, “Jihadharini! Jilindeni na aina zote za choyo. Kwa maana maisha ya mtu hayatokani na wingi wa mali alizo nazo.”
Philippians 2:15ili msiwe na lawama wala hatia, bali mwe wana wa Mungu wasio na kasoro katika kizazi chenye ukaidi na kilichopotoka, ambacho ndani yake ninyi mnangʼaa kama mianga ulimwenguni.