The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 43 › Isaya 43:12

Isaya 43:12

Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: 2 Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu. 1 Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “kwamba Mimi ndimi Mungu. 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have declared, and have saved, and I have shewed, when there was no strange god among you: therefore ye are my witnesses, saith the LORD, that I am God.

In Context

11Mimi, naam mimi, ndimi Bwana, 2 zaidi yangu hakuna mwokozi. 1

13Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. 1 Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa 2 kutoka mkononi wangu. 1 Mimi ninapotenda, 2 ni nani awezaye kutangua?” 1 Huruma Za Mungu, Na Kukosa Uaminifu Kwa Israeli 1

Read all of Isaya 43

Cross References

Deuteronomy 32:12Bwana peke yake alimwongoza; 2 hakuwepo mungu mgeni pamoja naye. 1

Psalms 81:9Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu; 2 msimsujudie mungu wa kigeni. 1

Isaiah 37:20Sasa basi, Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili kwamba falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Bwana, ndiwe Mungu.” 1 Kuanguka Kwa Senakeribu (2 Wafalme 19:20-37)

Isaiah 43:10“Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “na mtumishi wangu niliyemchagua, 1 ili mpate kunijua na kuniamini, 2 na kutambua kwamba Mimi ndiye. 1 Kabla yangu hakuna mungu aliyefanyizwa, 2 wala hatakuwepo mwingine baada yangu. 1

Isaiah 46:9Kumbukeni mambo yaliyopita, yale ya zamani za kale; 2 mimi ndimi Mungu, wala hakuna mwingine; 1 mimi ndimi Mungu, 2 wala hakuna mwingine aliye kama mimi. 1

Isaiah 55:4Tazama, nimemfanya kuwa shahidi wa mataifa, 2 kiongozi na jemadari wa mataifa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 43:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 43:11Isaya 43Isaya 43:13 →