Isaiah 13:22
Fisi watalia ndani ya ngome zake, 2 mbweha ndani ya majumba yake ya kifahari. 1 Wakati wake umewadia, 2 na siku zake hazitaongezwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru
Isaiah 34:13Miiba itaenea katika ngome za ndani, 2 viwawi na michongoma itaota 2 kwenye ngome zake. 1 Itakuwa maskani ya mbweha, 2 makao ya bundi. 1
Isaiah 35:7Mchanga wa moto utakuwa bwawa la maji, 2 ardhi yenye kiu itabubujika chemchemi. 1 Maskani ya mbweha walikolala hapo awali 2 patamea majani, matete na mafunjo. 1
Ezekiel 7:7Maangamizi yamekuja juu yenu, ninyi mnaoishi katika nchi. Wakati umewadia, siku imekaribia, kuna hofu kuu ya ghafula, wala si furaha, juu ya milima.
Zephaniah 2:14Makundi ya kondoo na ngʼombe yatajilaza pale, 2 viumbe vya kila aina. 1 Bundi wa jangwani na bundi waliao kwa sauti nyembamba 2 wataishi juu ya nguzo zake. 1 Mwangwi wa kuita kwao utapita madirishani, 2 kifusi kitakuwa milangoni, 2 boriti za mierezi zitaachwa wazi. 1
2 Peter 3:9Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama watu wengine wanavyokudhani kukawia. Badala yake, yeye anawavumilia ninyi, maana hataki mtu yeyote aangamie, bali kila mtu afikilie toba.