Proverbs 14:8
Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, 2 bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wisdom of the prudent is to understand his way: but the folly of fools is deceit.
In Context
7Kaa mbali na mtu mpumbavu, 2 kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. 1
9Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, 2 bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. 1
Cross References
Psalms 111:10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 wote wanaozifuata amri zake wana busara. 2 Sifa zake zadumu milele.
Psalms 119:34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako 2 na kuitii kwa moyo wangu wote. 1
Psalms 143:8Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma, 2 kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako. 1 Nionyeshe njia nitakayoiendea, 2 kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu. 1
Proverbs 8:20Natembea katika njia ya unyofu 2 katika mapito ya haki, 1
Proverbs 12:5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, 2 bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 1
Ecclesiastes 2:16Kwa maana kwa mtu mwenye hekima, 2 kama ilivyo kwa mpumbavu, 1 hatakumbukwa kwa muda mrefu, 2 katika siku zijazo wote watasahaulika. 1 Kama vile ilivyo kwa mpumbavu, 2 mtu mwenye hekima pia lazima atakufa! 1 Kutaabika Ni Ubatili