Mhubiri 2:16
Kwa maana kwa mtu mwenye hekima, 2 kama ilivyo kwa mpumbavu, 1 hatakumbukwa kwa muda mrefu, 2 katika siku zijazo wote watasahaulika. 1 Kama vile ilivyo kwa mpumbavu, 2 mtu mwenye hekima pia lazima atakufa! 1 Kutaabika Ni Ubatili
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 1:8Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri.
Psalms 49:10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; 2 wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia 2 na kuwaachia wengine mali zao. 1
Psalms 103:16upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, 2 mahali pake hapalikumbuki tena. 1
Ecclesiastes 1:11Hakuna kumbukumbu ya watu wa zamani, 2 hata na wale ambao hawajaja bado 1 hawatakumbukwa 2 na wale watakaofuata baadaye. 1 Hekima Ni Ubatili
Ecclesiastes 6:8Mtu mwenye hekima ana faida gani 2 zaidi ya mpumbavu? 1 Mtu maskini anapata faida gani 2 kwa kujua jinsi ya kujistahi 2 mbele ya watu wengine? 1
Malachi 3:16Ndipo wale waliomcha Bwana wakasemezana wao kwa wao, naye Bwana akasikiliza na akasikia. Kitabu cha kumbukumbu kikaandikwa mbele yake kuhusu wale ambao walimcha Bwana na kuliheshimu jina lake.