Obadia 1:18
Nyumba ya Yakobo itakuwa moto, 2 na nyumba ya Yosefu itakuwa mwali wa moto; 1 nayo nyumba ya Esau itakuwa bua kavu, 2 nao wataiwasha moto na kuiteketeza. 1 Hakutakuwa na watakaosalimika 2 kutoka nyumba ya Esau.” 4 Bwana amesema. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 19:20Kwa maana mimi mtumishi wako najua nimefanya dhambi, lakini leo nimekuja hapa kama wa kwanza wa nyumba yote ya Yosefu kushuka na kumlaki bwana wangu mfalme.”
Isaiah 5:24Kwa hiyo, kama ndimi za moto zirambavyo nyasi, 2 na kama vile majani makavu yazamavyo katika miali ya moto, 1 ndivyo mizizi yao itakavyooza 2 na maua yao yatakavyopeperushwa kama mavumbi; 1 kwa kuwa wameikataa sheria ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 na kulisukumia mbali neno la Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 31:9Ngome zao zitaanguka kwa sababu ya hofu; 2 kwa kuona bendera ya vita, 2 majemadari wao watashikwa na hofu ya ghafula,” 1 asema Bwana, 2 ambaye moto wake uko Sayuni, 2 nayo tanuru yake iko Yerusalemu.
Ezekiel 37:16“Mwanadamu, chukua fimbo na uandike juu yake, ‘Hii ni kwa ajili ya Yuda na Waisraeli waliofungamana naye.’ Kisha chukua fimbo nyingine, uandike juu yake, ‘Fimbo ya Efraimu, ni kwa ajili ya Yosefu na nyumba yote ya Israeli wanaofungamana naye.’
Joel 2:5Wanatoa sauti kama magari ya vita, 2 wanaporukaruka juu ya vilele vya milima, 1 kama mlio wa miali ya moto ilayo mabua, 2 kama jeshi kubwa lililojipanga kwa ajili ya vita. 1
Amos 6:6Mnakunywa mvinyo kwa bakuli zilizojazwa, 2 na mnajipaka mafuta mazuri, 2 lakini hamhuzuniki kwa maangamizi ya Yosefu. 1