The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:24

Ezekiel 21:24

“Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu enyi watu mmekumbusha uovu wenu kwa kuasi waziwazi, mkidhihirisha dhambi zenu katika yale yote mfanyayo, kwa kuwa mmefanya jambo hili, mtachukuliwa mateka.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore thus saith the Lord GOD; Because ye have made your iniquity to be remembered, in that your transgressions are discovered, so that in all your doings your sins do appear; because, I say, that ye are come to remembrance, ye shall be taken with the hand.

In Context

23Itakuwa kama kupiga ramli kwa uongo kwa wale watu ambao wameapa kumtii yeye. Lakini mfalme wa Babeli atawakumbusha juu ya uovu wao na kuwachukua mateka.

25“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake,

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Isaiah 22:17“Jihadhari, Bwana yu karibu kukukamata thabiti, 2 na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu. 1

Jeremiah 3:2“Inua macho utazame miinuko iliyo kame na uone. 2 Je, pana mahali ambapo hawajalala nawe? 1 Uliketi kando ya barabara ukiwasubiri wapenzi, 2 ukakaa kama yeye ahamahamaye jangwani. 1 Umeinajisi nchi 2 kwa ukahaba wako na uovu wako. 1

Jeremiah 6:15Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao 2 inayochukiza mno? 1 Hapana, hawana aibu hata kidogo; 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini nitakapowaadhibu,” 4 asema Bwana.

Jeremiah 9:2Laiti ningekuwa na nyumba 2 ya kukaa wasafiri jangwani, 1 ningewaacha watu wangu 2 na kwenda mbali nao, 1 kwa kuwa wote ni wazinzi, 2 kundi la watu wadanganyifu. 1

Ezekiel 16:16Ulichukua baadhi ya mavazi yako ukayatumia kupamba mahali pako pa juu pa kuabudia miungu, mahali ambapo ulifanyia ukahaba wako. Mambo ya namna hiyo hayastahili kutendeka wala kamwe kutokea.

Ezekiel 22:24“Mwanadamu, iambie nchi, ‘Wewe ni nchi ambayo haijapata mvua wala manyunyu katika siku ya ghadhabu.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:23Ezekiel 21Ezekiel 21:25 →