The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 22 › Ezekiel 22:21

Ezekiel 22:21

Nitawakusanya na kupuliza juu yenu moto wa hasira yangu na ghadhabu yangu nanyi mtayeyushwa ndani ya huo mji.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yea, I will gather you, and blow upon you in the fire of my wrath, and ye shall be melted in the midst thereof.

In Context

20Kama vile watu wakusanyavyo fedha, shaba, chuma, risasi na bati kalibuni ili kuyeyusha kwa moto mkali, ndivyo nitakavyowakusanya katika hasira yangu na ghadhabu yangu kuwaweka ndani ya mji na kuwayeyusha.

22Kama fedha iyeyukavyo kalibuni, ndivyo mtakavyoyeyuka ndani ya huo mji, nanyi mtajua kuwa Mimi Bwana nimemwaga ghadhabu yangu juu yenu.’ ”

Read all of Ezekiel 22

Cross References

Deuteronomy 4:24Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.

Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

Psalms 21:9Wakati utakapojitokeza 2 utawafanya kama tanuru ya moto. 1 Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, 2 moto wake utawateketeza. 1

Psalms 68:2Kama vile moshi upeperushwavyo na upepo, 2 vivyo hivyo uwapeperushe mbali, 1 kama vile nta iyeyukavyo kwenye moto, 2 vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu. 1

Isaiah 30:33Tofethi imeandaliwa toka zamani, 2 imewekwa tayari kwa ajili ya mfalme. 1 Shimo lake la moto limetengenezwa kwa kina kirefu 2 na kwa upana mkubwa, 2 likiwa na moto na kuni tele; 1 pumzi ya Bwana, 2 kama kijito cha kiberiti, 2 huuwasha moto.

Isaiah 64:7Hakuna yeyote anayeliitia jina lako 2 wala anayejitahidi kukushika, 1 kwa kuwa umetuficha uso wako 2 na kutuacha tudhoofike kwa sababu ya dhambi zetu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 22:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 22:20Ezekiel 22Ezekiel 22:22 →