Genesis 11:6
Bwana akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Lakini Bwana akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga.
7Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”
Cross References
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Genesis 9:19Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia.
Judges 10:14Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!”
Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
Luke 1:51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; 2 amewatawanya wale wenye kiburi 2 ndani ya mioyo yao. 1