Genesis 13:8
Hivyo Abramu akamwambia Loti, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 11:27Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti.
Genesis 45:24Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!”
Judges 9:26Basi Gaali mwana wa Ebedi akaenda pamoja na ndugu zake wakaingia Shekemu, nao watu wa huko wakamtumainia yeye.
Proverbs 15:1Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, 2 bali neno liumizalo huchochea hasira. 1
Proverbs 20:3Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, 2 bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. 1
Acts 7:26Siku iliyofuata Mose aliwakuta Waisraeli wawili wakigombana, akajaribu kuwapatanisha kwa kuwaambia, ‘Enyi watu, ninyi ni ndugu, mbona mnataka kudhulumiana?’