The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 49 › Jeremiah 49:13

Jeremiah 49:13

Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I have sworn by myself, saith the LORD, that Bozrah shall become a desolation, a reproach, a waste, and a curse; and all the cities thereof shall be perpetual wastes.

In Context

12Hili ndilo asemalo Bwana: “Kama wale wasiostahili kukinywea kikombe ni lazima wakinywe, kwa nini wewe usiadhibiwe? Hutakwepa kuadhibiwa, ni lazima ukinywe.

14Nimesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Jikusanyeni ili kuushambulia! 2 Inukeni kwa ajili ya vita!” 1

Read all of Jeremiah 49

Cross References

Genesis 36:33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 1

Isaiah 34:6Upanga wa Bwana umeoga katika damu, 2 umefunikwa na mafuta ya nyama: 1 damu ya kondoo na mbuzi, 2 mafuta kutoka figo za kondoo dume. 1 Kwa maana Bwana ana dhabihu huko Bosra, 2 na machinjo makuu huko Edomu. 1

Isaiah 45:23Nimeapa kwa nafsi yangu, 2 kinywa changu kimenena katika uadilifu wote 2 neno ambalo halitatanguka: 1 Kila goti litapigwa mbele zangu, 2 kwangu mimi kila ulimi utaapa. 1

Jeremiah 44:26Lakini sikieni neno la Bwana, enyi Wayahudi wote mnaoishi Misri: ‘Ninaapa kwa Jina langu lililo kuu,’ asema Bwana, ‘kwamba hakuna hata mmoja atokaye Yuda anayeishi popote Misri ambaye kamwe ataomba tena kwa Jina langu au kuapa, akisema, “Hakika kama Bwana Mwenyezi aishivyo.”

Jeremiah 49:17“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya; 2 wote wapitao karibu 1 watashangaa na kuzomea 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1

Ezekiel 25:13kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaunyoosha mkono wangu dhidi ya Edomu na kuua watu wake na wanyama wao. Nitaufanya ukiwa, kuanzia Temani hadi Dedani wataanguka kwa upanga.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 49:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 49:12Jeremiah 49Jeremiah 49:14 →