Numbers 24:19
Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobo 2 na kuangamiza walionusurika katika mji.” 1 Ujumbe Wa Mwisho Wa Balaamu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Edomu itamilikiwa, 2 Seiri, adui wake, itamilikiwa, 2 lakini Israeli atakuwa na nguvu. 1
Cross References
Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
Psalms 72:10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali 2 watamletea kodi; 1 wafalme wa Sheba na Seba 2 watampa zawadi. 1
Micah 5:2“Lakini wewe, Bethlehemu Efrathi, 2 ingawa u mdogo miongoni mwa koo za Yuda, 1 kutoka kwako atatokea kwa ajili yangu 2 yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, 1 ambaye asili yake ni kutoka zamani, 2 kutoka milele.” 1
Matthew 25:46“Ndipo hawa watakapoingia kwenye adhabu ya milele, lakini wale wenye haki wataingia katika uzima wa milele.”
Luke 19:12Hivyo akawaambia: “Mtu mmoja mwenye cheo kikubwa alisafiri kwenda nchi ya mbali ili akapokee madaraka ya kuwa mfalme, kisha arudi.
1 Corinthians 15:25Kwa maana lazima Kristo atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.