Genesis 8:12
Akangojea siku saba zaidi na akamtuma tena hua, lakini wakati huu hua hakurudi tena kwa Noa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 8:10Noa akangojea siku saba zaidi kisha akamtoa tena hua kutoka safina.
Psalms 130:5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, 2 katika neno lake naweka tumaini langu. 1
Isaiah 25:9Katika siku ile watasema, 2 “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; 2 tulimtumaini, naye akatuokoa. 1 Huyu ndiye Bwana, tuliyemtumaini; 2 sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.” 1
Isaiah 30:18Hata hivyo Bwana anatamani kutupatia neema, 2 anainuka ili kuwaonyesha huruma. 1 Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa haki. 2 Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!
James 5:7Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho.