Waebrania 11:25
Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa kitambo kidogo tu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Kwa imani, Mose alipokuwa mtu mzima, alikataa kuitwa mwana wa binti Farao.
Cross References
Job 21:11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1
Psalms 47:9Wakuu wa mataifa wanakusanyika 2 kama watu wa Mungu wa Abrahamu, 1 kwa kuwa wafalme wa dunia ni mali ya Mungu; 2 yeye ametukuka sana.
Psalms 84:10Siku moja katika nyua zako ni bora 2 kuliko siku elfu mahali pengine; 1 afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu 2 kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 1
Isaiah 47:8“Sasa basi, sikiliza, ewe kiumbe mpenda anasa, 2 ukaaye mahali pako pa salama, 1 na kujiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu. 1 Kamwe sitakuwa mjane, 2 wala sitafiwa na watoto.’ 1
Matthew 13:21Lakini kwa kuwa hana mizizi yenye kina ndani yake, lile neno hudumu kwa muda mfupi tu. Kisha dhiki au mateso yanapoinuka kwa ajili ya lile neno, yeye mara huchukizwa.
Luke 16:25“Lakini Abrahamu akamjibu, ‘Mwanangu, kumbuka kwamba wakati wa uhai wako ulipata mambo mazuri, lakini Lazaro alipata mambo mabaya. Lakini sasa anafarijiwa hapa na wewe uko katika maumivu makuu.