Hosea 10:6
Itachukuliwa kwenda Ashuru 2 kama ushuru kwa mfalme mkuu. 1 Efraimu atafedheheshwa; 2 Israeli ataaibika kwa ajili ya sanamu zake za mti. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Samaria na mfalme wake wataelea 2 kama kijiti juu ya uso wa maji. 1
Cross References
2 Kings 17:3Mfalme Shalmanesa wa Ashuru akainuka dhidi ya Mfalme Hoshea, ambaye hapo mbeleni alikuwa mtumwa wake na kumlipa ushuru.
Isaiah 1:29“Mtaaibika kwa sababu ya hiyo mialoni 2 ambayo mlifurahia, 1 mtafadhaika kwa sababu ya bustani 2 mlizozichagua. 1
Isaiah 44:9Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1
Isaiah 46:1Beli anasujudu hadi nchi, Nebo anainama; 2 sanamu zao zabebwa na wanyama wa mizigo. 1 Vinyago hivi mnavyobeba kila mahali ni mzigo wa kulemea, 2 mzigo kwa waliochoka. 1
Jeremiah 2:36Kwa nini unatangatanga sana, 2 kubadili njia zako? 1 Utakatishwa tamaa na Misri 2 kama ulivyokatishwa na Ashuru. 1
Jeremiah 7:24Lakini hawakusikiliza wala kujali. Badala yake, walifuata ukaidi wa mioyo yao miovu. Walirudi nyuma badala ya kusonga mbele.