The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 10 › Hosea 10:3

Hosea 10:3

Kisha watasema, “Hatuna mfalme 2 kwa sababu hatukumheshimu Bwana. 1 Lakini hata kama tungelikuwa na mfalme, 2 angeweza kutufanyia nini?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For now they shall say, We have no king, because we feared not the LORD; what then should a king do to us?

In Context

2Moyo wao ni mdanganyifu, 2 nao sasa lazima wachukue hatia yao. 1 Bwana atabomoa madhabahu zao 2 na kuharibu mawe yao ya ibada. 1

4Wanaweka ahadi nyingi, 2 huapa viapo vya uongo 2 wanapofanya mapatano; 1 kwa hiyo mashtaka huchipuka 2 kama magugu ya sumu 2 katika shamba lililolimwa. 1

Read all of Hosea 10

Cross References

Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1

Psalms 118:9Ni bora kumkimbilia Bwana 2 kuliko kuwatumainia wakuu. 1

Hosea 10:7Samaria na mfalme wake wataelea 2 kama kijiti juu ya uso wa maji. 1

Hosea 11:5“Je, hawatarudi Misri, 2 nayo Ashuru haitawatawala 2 kwa sababu wamekataa kutubu? 1

Hosea 13:11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme 2 na katika ghadhabu yangu nilimwondoa. 1

John 19:15Wao wakapiga kelele, “Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!” Pilato akawauliza, “Je, nimsulubishe mfalme wenu?” Wale viongozi wa makuhani wakamjibu, “Sisi hatuna mfalme mwingine ila Kaisari.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 10:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 10:2Hosea 10Hosea 10:4 →