Isaiah 30:6
Neno kuhusu wanyama wa Negebu: 1 Katika nchi ya taabu na shida, 2 ya simba za dume na jike, 2 ya nyoka mwenye sumu kali na nyoka warukao, 1 wajumbe huchukua utajiri wao juu ya migongo ya punda, 2 hazina zao juu ya nundu za ngamia, 1 kwa lile taifa lisilokuwa na faida, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 5:10Basi viongozi wa watumwa na wasimamizi wakaenda kuwaambia watu, “Hivi ndivyo Farao asemavyo: ‘Sitawapa tena nyasi.
Deuteronomy 4:20Lakini kwenu ninyi, Bwana amewatoa kutoka kwenye tanuru ya kuyeyushia chuma, katika Misri kuwa watu wa urithi wake kama mlivyo sasa.
Deuteronomy 17:16Hata hivyo, kamwe mfalme asijipatie hesabu kubwa ya farasi kwa ajili yake mwenyewe, au kuwafanya watu warudi Misri ili kupata farasi zaidi, kwa maana Bwana amekuambia, “Hamtairudia njia ile tena.”
2 Chronicles 9:1Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni, huyo malkia akaja Yerusalemu kumjaribu kwa maswali magumu. Alifika akiwa na msafara mkubwa sana, pamoja na ngamia waliobeba vikolezi, kiasi kikubwa cha dhahabu na vito vya thamani, alikuja kwa Solomoni na kuzungumza naye kuhusu yote ambayo alikuwa nayo moyoni mwake.
2 Chronicles 28:20Hivyo Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru akaja kumtesa badala ya kumsaidia.
Isaiah 8:22Kisha wataangalia duniani na kuona tu dhiki na giza, hofu na huzuni tupu, nao watasukumiwa kwenye giza nene kabisa.