Hosea 12:6
Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; 2 dumisha upendo na haki, 2 nawe umngojee Mungu wako siku zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore turn thou to thy God: keep mercy and judgment, and wait on thy God continually.
In Context
5Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, 2 Bwana ndilo jina lake! 1
7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1
Cross References
Exodus 3:15Vilevile Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli, ‘ Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo amenituma kwenu.’ Hili ndilo Jina langu milele, Jina ambalo mtanikumbuka kwalo kutoka kizazi hadi kizazi.
Psalms 37:7Tulia mbele za Bwana 2 na umngojee kwa uvumilivu; 1 usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, 2 wanapotekeleza mipango yao miovu. 1
Psalms 130:5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, 2 katika neno lake naweka tumaini langu. 1
Proverbs 21:3Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika 2 zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu. 1
Isaiah 8:17Nitamngojea Bwana, 2 ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. 1 Nitaliweka tumaini langu kwake.
Isaiah 31:6Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana.