Hosea 2:10
Basi sasa nitaufunua ufisadi wake 2 mbele ya wapenzi wake; 1 hakuna yeyote atakayemtoa 2 mikononi mwangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 24:7Kwa kuwa wana wa yule mwanamke mwovu Athalia, walikuwa wamevunja na kuingia katika Hekalu la Mungu, nao wakawa wamevitumia hata vile vitu vilivyowekwa wakfu kwa Bwana kwa mabaali.
Proverbs 11:21Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, 2 bali wenye haki watakuwa huru. 1
Jeremiah 13:22Nawe kama ukijiuliza, 2 “Kwa nini haya yamenitokea?” 1 Ni kwa sababu ya dhambi zako nyingi 2 ndipo marinda yako yameraruliwa 2 na mwili wako umetendewa vibaya. 1
Ezekiel 16:16Ulichukua baadhi ya mavazi yako ukayatumia kupamba mahali pako pa juu pa kuabudia miungu, mahali ambapo ulifanyia ukahaba wako. Mambo ya namna hiyo hayastahili kutendeka wala kamwe kutokea.
Ezekiel 16:36Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa kuwa umemwaga tamaa zako na kuonyesha uchi wako katika uzinzi wako kwa wapenzi wako na kwa sababu ya sanamu zako zote za machukizo na kwa sababu uliwapa damu ya watoto wako,
Hosea 2:3Kama sivyo nitamvua nguo zake awe uchi 2 na kumwacha uchi kama siku ile aliyozaliwa. 1 Nitamfanya kama jangwa, 2 nitamgeuza awe nchi ya kiu, 2 nami nitamuua kwa kiu. 1