Hosea 2:21
“Katika siku ile nitajibu,” 2 asema Bwana, 1 “nitajibu kwa anga, 2 nazo anga zitajibu kwa nchi; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Nitakuposa kwa uaminifu, 2 nawe utamkubali Bwana. 1
22nayo nchi itajibu kwa nafaka, 2 divai mpya na mafuta, 2 navyo vitajibu kwa Yezreeli. 1
Cross References
Isaiah 62:4Hawatakuita tena Aliyeachwa, 2 wala nchi yako kuiita Ukiwa. 1 Bali utaitwa Hefsiba, + 62:4 Hefsiba maana yake Yeye ninayemfurahia. 2 nayo nchi yako itaitwa Beula, + 62:4 Beula maana yake Aliyeolewa. 1 kwa maana Bwana atakufurahia, 2 nayo nchi yako itaolewa. 1
Isaiah 65:24Kabla hawajaita, nitajibu, 2 nao wakiwa katika kunena, nitasikia. 1
Zechariah 8:12“Mbegu itakua vizuri, mzabibu utazaa matunda yake, ardhi itatoa mazao yake, na mbingu zitadondosha umande wake. Vitu hivi vyote nitawapa mabaki ya watu kama urithi wao.
Matthew 6:33Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.
1 Corinthians 3:21Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu,