Proverbs 13:25
Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake, 2 bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The righteous eateth to the satisfying of his soul: but the belly of the wicked shall want.
In Context
24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, 2 bali yeye ampendaye 2 huwa mwangalifu kumwadibisha. 1
Cross References
Deuteronomy 32:24Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, 2 yateketezayo na tauni ya kufisha; 1 nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, 2 na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini. 1
Psalms 37:3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; 2 Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 1
Psalms 37:18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, 2 na urithi wao utadumu milele. 1
Proverbs 10:3Bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa, 2 lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu. 1
Isaiah 65:13Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: 1 “Watumishi wangu watakula, 2 lakini ninyi mtaona njaa; 1 watumishi wangu watakunywa 2 lakini ninyi mtaona kiu; 1 watumishi wangu watafurahi, 2 lakini ninyi mtaona haya. 1
1 Timothy 4:8Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini utauwa una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao.