Isaya 44:18
Hawajui chochote, hawaelewi chochote, 2 macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, 2 akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 92:6Mjinga hafahamu, 2 mpumbavu haelewi, 1
Proverbs 28:5Watu wabaya hawaelewi haki, 2 bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 1
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Isaiah 29:10Bwana amewaleteeni usingizi mzito: 2 Ameziba macho yenu (ninyi manabii); 2 amefunika vichwa vyenu (ninyi waonaji).
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Isaiah 46:7Huiinua mabegani na kuichukua; 2 huiweka mahali pake, papo hapo ndipo isimamapo. 2 Wala haiwezi kusogea kutoka mahali pale. 1 Ingawa mtu huililia, haimjibu; 2 haiwezi kumwokoa kwenye taabu zake. 1