The Bible Software
bible.software › Hosea › Hosea 7 › Hosea 7:14

Hosea 7:14

Hawanililii mimi kutoka mioyoni mwao, 2 bali wanaomboleza vitandani mwao. 1 Hukusanyika pamoja kwa ajili ya nafaka na divai mpya, 2 lakini hugeukia mbali nami. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they have not cried unto me with their heart, when they howled upon their beds: they assemble themselves for corn and wine, and they rebel against me.

In Context

13Ole wao, kwa sababu 2 wamepotoka kutoka kwangu! 1 Maangamizi ni yao 2 kwa sababu wameniasi! 1 Ninatamani kuwakomboa, 2 lakini wanasema uongo dhidi yangu. 1

15Niliwafundisha na kuwatia nguvu, 2 lakini wanapanga mabaya dhidi yangu. 1

Read all of Hosea 7

Cross References

Exodus 32:6Kwa hiyo siku iliyofuata watu wakaamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketeza na sadaka za amani. Baadaye watu wakaketi kula na kunywa, nao wakasimama, wakajizamisha katika sherehe.

Job 35:9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; 2 huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 1

Isaiah 29:13Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1

Isaiah 65:14Watumishi wangu wataimba 2 kwa furaha ya mioyo yao, 1 lakini ninyi mtalia 2 kutokana na uchungu wa moyoni, 1 na kupiga yowe kwa sababu 2 ya uchungu wa roho zenu. 1

Jeremiah 12:2Umewapanda, nao wameota, 2 wanakua na kuzaa matunda. 1 Daima u midomoni mwao, 2 lakini mbali na mioyo yao. 1

Hosea 13:9“Ee Israeli, umeangamizwa, 2 kwa sababu wewe u kinyume nami, 2 kinyume na msaidizi wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 7:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 7:13Hosea 7Hosea 7:15 →