Hosea 9:16
Efraimu ameharibiwa, 2 mzizi wao umenyauka, 2 hawazai tunda. 1 Hata kama watazaa watoto, 2 nitawachinja watoto wao 2 waliotunzwa vizuri.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:25Barabarani upanga utawakosesha watoto; 2 nyumbani mwao hofu itatawala. 1 Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, 2 pia watoto wachanga na wazee wenye mvi. 1
Isaiah 5:24Kwa hiyo, kama ndimi za moto zirambavyo nyasi, 2 na kama vile majani makavu yazamavyo katika miali ya moto, 1 ndivyo mizizi yao itakavyooza 2 na maua yao yatakavyopeperushwa kama mavumbi; 1 kwa kuwa wameikataa sheria ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 na kulisukumia mbali neno la Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Ezekiel 24:21‘Sema na nyumba ya Israeli. Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kupatia unajisi mahali pangu patakatifu, ngome ambayo ndani yake mnaona fahari, furaha ya macho yenu, kitu mnachokipenda. Wana wenu na binti zenu mliowaacha nyuma wataanguka kwa upanga.
Hosea 8:7“Wanapanda upepo 2 na kuvuna upepo wa kisulisuli. 1 Bua halina suke, 2 halitatoa unga. 1 Kama lingetoa nafaka, 2 wageni wangeila yote. 1
Malachi 4:1“Hakika siku inakuja, itawaka kama tanuru. Wote wenye kiburi na kila mtenda mabaya watakuwa mabua makavu, na siku ile inayokuja itawawasha moto,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Hakuna mzizi wala tawi litakalosalia kwao.