The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 10 › Isaiah 10:34

Isaiah 10:34

Atakata vichaka vya msitu kwa shoka; 2 Lebanoni itaanguka mbele zake yeye Mwenye Nguvu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he shall cut down the thickets of the forest with iron, and Lebanon shall fall by a mighty one.

In Context

33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1

Read all of Isaiah 10

Cross References

Psalms 103:20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, 2 ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, 2 ninyi mnaotii neno lake. 1

Isaiah 31:8“Ashuru itaanguka kwa upanga ambao si wa mwanadamu; 2 upanga usio wa kibinadamu utawaangamiza. 1 Watakimbia mbele ya upanga 2 na vijana wao wa kiume watafanyizwa kazi kwa lazima. 1

Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

Jeremiah 46:22Misri atatoa sauti kama ya nyoka anayekimbia 2 kadiri adui anavyowasogelea na majeshi, 1 watakuja dhidi yake wakiwa na mashoka, 2 kama watu wakatao miti. 1

Daniel 4:13“Katika maono niliyoyaona nikiwa nimelala kitandani mwangu, nilitazama, na mbele yangu alikuwepo mlinzi, aliye mtakatifu, akishuka kutoka mbinguni.

Nahum 1:12Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Ingawa wana muungano nao ni wengi sana, 2 watakatiliwa mbali na kuangamia. 1 Ingawa nimekutesa wewe, ee Yuda, 2 sitakutesa tena. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 10:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 10:33Isaiah 10