Yeremia 46:22
Misri atatoa sauti kama ya nyoka anayekimbia 2 kadiri adui anavyowasogelea na majeshi, 1 watakuja dhidi yake wakiwa na mashoka, 2 kama watu wakatao miti. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 10:33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1
Isaiah 29:4Utakaposhushwa, utanena kutoka ardhini, 2 utamumunya maneno yako kutoka mavumbini. 1 Sauti yako itatoka katika nchi kama vile ya mzimu, 2 utanongʼona maneno yako toka mavumbini. 1
Jeremiah 51:20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1
Micah 7:16Mataifa yataona na kuaibika, 2 waliondolewa nguvu zao zote. 1 Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao 2 na masikio yao yatakuwa na uziwi. 1