Isaiah 34:13
Miiba itaenea katika ngome za ndani, 2 viwawi na michongoma itaota 2 kwenye ngome zake. 1 Itakuwa maskani ya mbweha, 2 makao ya bundi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 44:19Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, 2 na ukatufunika kwa giza nene. 1
Isaiah 32:13na kwa ajili ya nchi ya watu wangu, 2 nchi ambayo miiba na michongoma imemea: 1 naam, ombolezeni kwa ajili ya nyumba zote za furaha 2 na kwa ajili ya mji huu wenye kufanya sherehe. 1
Isaiah 35:7Mchanga wa moto utakuwa bwawa la maji, 2 ardhi yenye kiu itabubujika chemchemi. 1 Maskani ya mbweha walikolala hapo awali 2 patamea majani, matete na mafunjo. 1
Jeremiah 10:22Sikilizeni! Taarifa inakuja: 2 ghasia kubwa kutoka nchi ya kaskazini! 1 Hii itafanya miji ya Yuda ukiwa, 2 makao ya mbweha. 1 Maombi Ya Yeremia 1
Jeremiah 50:39“Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo, 2 nao bundi watakaa humo. 1 Kamwe haitakaliwa tena 2 wala watu hawataishi humo kutoka kizazi hadi kizazi. 1
Jeremiah 51:43Miji yake itakuwa ukiwa, 2 kame na jangwa, 1 nchi ambayo hakuna yeyote anayeishi ndani yake, 2 ambayo hakuna mtu anayepita humo. 1