The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 13 › Isaiah 13:9

Isaiah 13:9

Tazameni, siku ya Bwana inakuja, 2 siku katili, yenye ghadhabu na hasira kali, 1 kuifanya nchi kuwa ukiwa 2 na kuwaangamiza wenye dhambi waliomo ndani yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, the day of the LORD cometh, cruel both with wrath and fierce anger, to lay the land desolate: and he shall destroy the sinners thereof out of it.

In Context

8Hofu itawakamata, 2 uchungu na maumivu makali yatawashika, 1 watagaagaa kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa. 1 Watatazamana kwa hofu kila mtu na mwenzake, 2 nyuso zao zikiwaka kama moto. 1

10Nyota za mbinguni na makundi ya nyota 2 havitatoa mwanga wake. 1 Jua linalochomoza litatiwa giza 2 na mwezi hautatoa nuru yake. 1

Read all of Isaiah 13

Cross References

Proverbs 2:22Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, 2 nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.

Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Isaiah 34:8Kwa sababu Bwana anayo siku ya kulipiza kisasi, 2 mwaka wa malipo, 2 siku ya kushindania shauri la Sayuni. 1

Isaiah 63:4Kwa kuwa siku ya kisasi ilikuwa moyoni mwangu, 2 mwaka wa ukombozi wangu umefika. 1

Jeremiah 6:22Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Tazama, jeshi linakuja 2 kutoka nchi ya kaskazini, 1 taifa kubwa linaamshwa 2 kutoka miisho ya dunia. 1

Jeremiah 51:35Jeuri iliyofanyiwa miili yetu + 51:35 Au: Jeuri tuliyofanyiwa sisi na watoto wetu. na iwe juu ya Babeli,” 2 ndivyo wasemavyo wakaao Sayuni. 1 “Damu yetu na iwe juu ya wale waishio Babeli,” 2 asema Yerusalemu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 13:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 13:8Isaiah 13Isaiah 13:10 →