Ayubu 18:19
Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, 2 wala aliyenusurika mahali alipoishi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall neither have son nor nephew among his people, nor any remaining in his dwellings.
In Context
18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, 2 naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 1
20Watu wa magharibi watashangaa yaliyompata; 2 watu wa mashariki watapatwa na hofu. 1
Cross References
Job 8:4Watoto wako walipomtenda dhambi, 2 aliwapa adhabu ya dhambi yao. 1
Job 20:26giza nene linavizia hazina zake. 1 Moto usiopepewa na mtu utamteketeza, 2 na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake. 1
Job 42:13Tena alikuwa na wana saba na binti watatu.
Psalms 109:13Uzao wake na ukatiliwe mbali, 2 majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 1
Isaiah 14:21Andaa mahali pa kuwachinjia wanawe 2 kwa ajili ya dhambi za baba zao, 1 wasije wakainuka ili kuirithi nchi 2 na kuijaza dunia kwa miji yao. 1
Jeremiah 22:30Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “Mwandike huyu mtu kama asiye na mtoto, 2 mtu ambaye hatafanikiwa maisha yake yote, 1 kwa maana hakuna mtoto wake atakayefanikiwa, 2 wala kukaa kwenye kiti cha enzi cha Daudi 2 wala kuendelea kutawala katika Yuda.”