The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 16 › Isaya 16:10

Isaya 16:10

Furaha na shangwe zimeondolewa 2 kutoka mashamba ya matunda; 1 hakuna yeyote aimbaye wala apazaye sauti 2 katika mashamba ya mizabibu; 1 hakuna yeyote akanyagaye zabibu shinikizoni, 2 kwa kuwa nimekomesha makelele. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And gladness is taken away, and joy out of the plentiful field; and in the vineyards there shall be no singing, neither shall there be shouting: the treaders shall tread out no wine in their presses; I have made their vintage shouting to cease.

In Context

9Hivyo ninalia kama Yazeri aliavyo, 2 kwa ajili ya mizabibu ya Sibma. 1 Ee Heshboni, ee Eleale, 2 ninakulowesha kwa machozi! 1 Kelele za furaha kwa ajili ya tunda lako lililoiva 2 na kwa ajili ya mavuno zimekomeshwa. 1

11Moyo wangu unaomboleza kwa ajili ya Moabu kama kinubi, 2 nafsi yangu yote kwa ajili ya Kir-Haresethi. 1

Read all of Isaya 16

Cross References

Job 24:11Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia; 2 hukanyaga mashinikizo, lakini wanaona kiu. 1

Isaiah 32:10Muda zaidi kidogo ya mwaka mmoja, 2 ninyi mnaojisikia salama mtatetemeka, 1 mavuno ya zabibu yatakoma 2 na mavuno ya matunda hayatakuwepo. 1

Ezekiel 7:7Maangamizi yamekuja juu yenu, ninyi mnaoishi katika nchi. Wakati umewadia, siku imekaribia, kuna hofu kuu ya ghafula, wala si furaha, juu ya milima.

Amos 5:17Kutakuwepo kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu, 2 kwa kuwa nitapita katikati yenu,” 4 asema Bwana. 1 Siku Ya Bwana 1

Zephaniah 1:13Utajiri wao utatekwa nyara, 2 nyumba zao zitabomolewa. 1 Watajenga nyumba, 2 lakini hawataishi ndani yake; 1 watapanda mizabibu 2 lakini hawatakunywa divai yake. 1 Siku Kubwa Ya Bwana 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 16:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 16:9Isaya 16Isaya 16:11 →