The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 16 › Isaya 16:4

Isaya 16:4

Waacheni watoro wa Moabu wakae pamoja nanyi; 2 kuweni mahali pao pa salama ili kuepuka mharabu.” 1 Mtesi atafikia mwisho na maangamizi yatakoma, 2 aletaye vita atatoweka kutoka nchi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let mine outcasts dwell with thee, Moab; be thou a covert to them from the face of the spoiler: for the extortioner is at an end, the spoiler ceaseth, the oppressors are consumed out of the land.

In Context

3“Tupeni shauri, 2 toeni uamuzi. 1 Wakati wa adhuhuri, 2 fanyeni kivuli chenu kama usiku. 1 Waficheni watoro, 2 msisaliti wakimbizi. 1

5Kwa upendo kiti cha enzi kitaimarishwa, 2 kwa uaminifu mtu ataketi juu yake, 2 yeye atokaye nyumba ya Daudi: 1 yeye ambaye katika kuhukumu hutafuta haki, 2 na huhimiza njia ya haki. 1

Read all of Isaya 16

Cross References

Deuteronomy 24:14Usimwonee mtu maskini na mhitaji ambaye umemwajiri, akiwa ni nduguyo Mwisraeli au mgeni anayeishi katika mojawapo ya miji yenu.

Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1

Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1

Isaiah 51:13kwamba mnamsahau Bwana Muumba wenu, 2 aliyezitanda mbingu 2 na kuiweka misingi ya dunia, 1 kwamba mnaishi katika hofu siku zote 2 kwa sababu ya ghadhabu ya mdhalimu, 2 ambaye nia yake ni kuangamiza? 1 Iko wapi basi ghadhabu ya mdhalimu? 2

Jeremiah 48:8Mharabu atakuja dhidi ya kila mji, 2 wala hakuna mji utakaookoka. 1 Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, 2 kwa sababu Bwana amesema. 1

Zechariah 9:8Lakini nitailinda nyumba yangu 2 dhidi ya majeshi ya wanyangʼanyi. 1 Kamwe mdhalimu hatashambulia watu wangu tena, 2 kwa maana sasa ninawachunga. 1 Kuja Kwa Mfalme Wa Sayuni 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 16:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 16:3Isaya 16Isaya 16:5 →