The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 17 › Isaiah 17:9

Isaiah 17:9

Katika siku ile miji yao iliyo imara, ambayo waliihama kwa sababu ya Waisraeli, itakuwa kama mahali palipoachwa pa vichaka na magugu. Nayo yote itakuwa ukiwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In that day shall his strong cities be as a forsaken bough, and an uppermost branch, which they left because of the children of Israel: and there shall be desolation.

In Context

8Hawataziangalia tena madhabahu, 2 kazi za mikono yao, 1 nao hawataheshimu nguzo za Ashera, + 17:8 Ashera hapa maana yake ni mungu mke aliyekuwa akiabudiwa pamoja na Baali. 2 na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.

10Mmemsahau Mungu Mwokozi wenu, 2 hamkumkumbuka Mwamba aliye ngome yenu. 1 Kwa hiyo, hata ingawa mlipandikiza mimea iliyo mizuri sana 2 na kuotesha mizabibu ya kigeni, 1

Read all of Isaiah 17

Cross References

Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1

Isaiah 9:9Watu wote watajua hili: 2 Efraimu na wakazi wa Samaria, 1 wanaosema kwa kiburi 2 na majivuno ya mioyo, 1

Isaiah 24:1Tazama, Bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa 2 na kuiharibu, 1 naye atauharibu uso wake 2 na kutawanya wakaao ndani yake: 1

Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1

Hosea 13:15hata ingawa Efraimu atastawi 2 miongoni mwa ndugu zake. 1 Upepo wa mashariki kutoka kwa Bwana utakuja, 2 ukivuma kutoka jangwani, 1 chemchemi yake haitatoa maji 2 na kisima chake kitakauka. 1 Ghala lake litatekwa 2 hazina zake zote. 1

Amos 7:9“Mahali pa Isaki pa juu pa kuabudia miungu pataangamizwa, 2 na mahali patakatifu pa Israeli pa kuabudia pataharibiwa; 1 kwa upanga wangu nitainuka 2 dhidi ya nyumba ya Yeroboamu.” 1 Amosi Na Amazia

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 17:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 17:8Isaiah 17Isaiah 17:10 →