Isaiah 18:1
Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, + 18:1 Au: wa nzige. 2 kando ya mito ya Kushi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Woe to the land shadowing with wings, which is beyond the rivers of Ethiopia:
In Context
Cross References
Ruth 2:12Bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.”
Psalms 17:8Nilinde kama mboni ya jicho lako, 2 unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako 1
Psalms 57:1Unihurumie, Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa maana nafsi yangu inakukimbilia. 1 Chini ya uvuli wa mbawa zako nitakimbilia 2 mpaka maafa yapite. 1
Psalms 63:7Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, 2 chini ya uvuli wa mbawa zako naimba. 1
Isaiah 20:3Kisha Bwana akasema, “Kama vile mtumishi wangu Isaya alivyotembea uchi na bila viatu kwa miaka mitatu, kama ishara na dalili mbaya dhidi ya nchi ya Misri na Kushi,
Isaiah 31:1Ole wao wale washukao Misri kwa ajili ya msaada, 2 wale wategemeao farasi, 1 wanaoweka tumaini katika wingi wa magari yao ya vita, 2 na katika nguvu nyingi za wapanda farasi, 1 lakini hawamwangalii yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 wala hawatafuti msaada kwa Bwana. 1