Isaiah 18:2
iwapelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari 2 kwa mashua za mafunjo juu ya maji. 1 Nendeni, wajumbe wepesi, 2 kwa taifa la watu warefu wenye ngozi nyororo, 2 kwa taifa linaloogopwa mbali na karibu, 1 taifa gomvi lenye lugha ngeni, 2 ambalo nchi yao imegawanywa kwa mito. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, + 18:1 Au: wa nzige. 2 kando ya mito ya Kushi, 1
Cross References
Genesis 10:8Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.
2 Chronicles 12:2Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa Bwana, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu.
2 Chronicles 16:8Je, hukumbuki lililotendeka kwa Wakushi na Walibia, hawakuwa jeshi lenye nguvu na magari mengi ya vita na wapanda farasi? Hata hivyo, ulipomtegemea Bwana yeye aliwatia mkononi mwako.
Isaiah 19:5Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1
Ezekiel 30:9“ ‘Siku hiyo wajumbe watatoka kwangu kwa merikebu, ili kuwatia hofu Ethiopia, wakiwa katika hali yao ya kuridhika. Maumivu makali yatawapata siku ya maangamizi ya Misri, kwa kuwa hakika itakuja.