Isaiah 2:9
Kwa hiyo mwanadamu atashushwa 2 na binadamu atanyenyekezwa: 2 usiwasamehe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the mean man boweth down, and the great man humbleth himself: therefore forgive them not.
In Context
8Nchi yao imejaa sanamu, 2 wanasujudia kazi za mikono yao, 2 vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 1
Cross References
Nehemiah 4:5Usiusitiri uovu wao, wala usifute dhambi zao mbele zako, kwa kuwa wamewatukana wajenzi mbele.
Psalms 62:9Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, 2 nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; 1 wakipimwa kwenye mizani, si chochote; 2 wote kwa pamoja ni pumzi tu. 1
Isaiah 5:16Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa 2 kwa ajili ya haki yake, 1 naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe 2 kuwa mtakatifu kwa haki yake. 1
Isaiah 57:9Ulikwenda kwa Moleki + 57:9 Moleki alikuwa mungu aliyekuwa anaabudiwa na Waamoni; pia alijulikana kama Malkomu, Maloki au Kemoshi wa Moabu. ukiwa na mafuta ya zeituni, 2 na ukaongeza manukato yako. 1 Ukawatuma wajumbe wako mbali sana, 2 ukashuka kwenye kaburi + 57:9 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. lenyewe! 1
Jeremiah 18:23Lakini unajua, Ee Bwana, 2 hila zao zote za kuniua. 1 Usiyasamehe makosa yao 2 wala usifute dhambi zao 2 mbele za macho yako. 1 Wao na waangamizwe mbele zako; 2 uwashughulikie wakati wa hasira yako.
Romans 3:23kwa kuwa wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu,