Nahum 3:4
yote haya kwa sababu ya wingi wa tamaa za kahaba, 2 anayeshawishi, bibi wa mambo ya uchawi, 1 anayewatia utumwani mataifa kwa ukahaba wake 2 na pia jamaa za watu kwa ulozi wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 23:15Wakati huo Tiro utasahauliwa kwa miaka sabini, muda wa maisha ya mfalme. Lakini mwisho wa miaka hiyo sabini, itakuwa kwa Tiro kama ilivyo katika wimbo wa kahaba: 1
Isaiah 47:8“Sasa basi, sikiliza, ewe kiumbe mpenda anasa, 2 ukaaye mahali pako pa salama, 1 na kujiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu. 1 Kamwe sitakuwa mjane, 2 wala sitafiwa na watoto.’ 1
Isaiah 47:12“Endelea basi na uaguzi wako, 2 na wingi wa uchawi wako, 2 ambao umeutumikia tangu utoto wako. 1 Labda utafanikiwa, 2 labda unaweza ukasababisha hofu kuu. 1
Ezekiel 16:35“ ‘Kwa hiyo, wewe kahaba, sikia neno la Bwana!
Revelation 18:2Naye akalia kwa nguvu kwa sauti kubwa, akisema: 1 “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu! 2 Umekuwa makao ya mashetani 1 na makazi ya kila pepo mchafu, 2 makazi ya kila ndege na kila mnyama achukizaye. 1
Revelation 18:23Mwanga wa taa 2 hautaangaza ndani yako tena. 1 Sauti ya bwana arusi na bibi arusi 2 kamwe haitasikika ndani yako tena. 1 Wafanyabiashara wako walikuwa watu maarufu wa dunia. 2 Mataifa yote yalipotoshwa kwa uchawi wako. 1