Isaya 23:17
Mwishoni mwa miaka sabini, Bwana atashughulika na Tiro. Naye atarudia ajira yake ya ukahaba, na atafanya biashara yake na falme zote juu ya uso wa dunia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 25:11Nchi hii yote itakuwa ukiwa na isiyofaa kitu, nayo mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babeli kwa miaka sabini.”
Ezekiel 16:26Ulifanya ukahaba wako na Wamisri, jirani zako waliojaa tamaa, ukaichochea hasira yangu kwa kuongezeka kwa uzinzi wako.
Ezekiel 22:13“ ‘Hakika nitapiga makofi kwa ajili ya faida isiyo halali uliyojipatia na kwa damu uliyoimwaga ndani yako.
Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1
Micah 3:11Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa, 2 na makuhani wake wanafundisha kwa malipo, 2 nao manabii wake wanatabiri kwa fedha. 1 Hata hivyo wanamwegemea Bwana na kusema, 2 “Je, Bwana si yumo miongoni mwetu? 2 Hakuna maafa yatakayotupata.” 1
Zephaniah 2:7Itakuwa mali ya mabaki ya nyumba ya Yuda, 2 hapo watapata malisho. 1 Wakati wa jioni watajilaza chini 2 katika nyumba za Ashkeloni. 1 Bwana Mungu wao atawatunza, 2 naye atawarudishia wafungwa wao. 1 Dhidi Ya Moabu Na Amoni 1