The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 24 › Isaya 24:23

Isaya 24:23

Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; 2 kwa maana Bwana Mwenye Nguvu Zote atawala 1 juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, 2 tena mbele ya wazee wake kwa utukufu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then the moon shall be confounded, and the sun ashamed, when the LORD of hosts shall reign in mount Zion, and in Jerusalem, and before his ancients gloriously.

In Context

22Watakusanywa pamoja 2 kama wafungwa waliofungwa gerezani, 1 watafungiwa gerezani 2 na kuadhibiwa baada ya siku nyingi. 1

Read all of Isaya 24

Cross References

Exodus 15:21Miriamu akawaimbia: 1 “Mwimbieni Bwana, 2 kwa maana ametukuka sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini.” 1 Maji Ya Mara Na Elimu

Psalms 97:1Bwana anatawala, nchi na ifurahi, 2 visiwa vyote vishangilie. 1

Isaiah 13:10Nyota za mbinguni na makundi ya nyota 2 havitatoa mwanga wake. 1 Jua linalochomoza litatiwa giza 2 na mwezi hautatoa nuru yake. 1

Isaiah 33:22Kwa kuwa Bwana ni mwamuzi wetu, 2 Bwana ndiye mtoa sheria wetu, 1 Bwana ni mfalme wetu, 2 yeye ndiye atakayetuokoa. 1

Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

Daniel 7:9“Nilipoendelea kutazama, 1 “viti vya enzi vikawekwa, 2 naye Mzee wa Siku akaketi. 1 Mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji; 2 nywele za kichwa chake zilikuwa nyeupe kama sufu. 1 Kiti chake cha enzi kilikuwa kinawaka kwa miali ya moto, 2 nayo magurudumu yake yote yalikuwa yanawaka moto. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 24:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 24:22Isaya 24