Isaiah 27:5
Au niwaache waje kwangu kwa ajili ya kupata kimbilio, 2 wao na wafanye amani nami, 2 naam, wafanye amani nami.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 9:24Wakamjibu Yoshua, “Watumwa wako waliambiwa waziwazi jinsi Bwana Mungu wenu alivyomwamuru mtumishi wake Mose kuwapa ninyi nchi hii yote na kuwaangamiza wakazi wake wote toka mbele zenu. Kwa hiyo tuliogopa mno kwa ajili ya uhai wetu kwa sababu yenu, ndiyo maana tukafanya neno hili.
Job 22:21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, 2 ndipo mema yatakapokujia. 1
Isaiah 26:3Utamlinda katika amani kamilifu 2 yeye ambaye moyo wake ni thabiti 2 kwa sababu anakutumaini wewe. 1
Isaiah 56:2Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, 2 mtu yule alishikaye kwa uthabiti, 1 yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, 2 auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.” 1
Isaiah 64:7Hakuna yeyote anayeliitia jina lako 2 wala anayejitahidi kukushika, 1 kwa kuwa umetuficha uso wako 2 na kutuacha tudhoofike kwa sababu ya dhambi zetu. 1
Hosea 2:18Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yao 2 na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, 2 na viumbe vile vitambaavyo ardhini. 1 Upinde, upanga na vita, 2 nitaondolea mbali katika nchi, 2 ili kwamba wote waweze kukaa salama. 1