The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 27 › Isaiah 27:6

Isaiah 27:6

Katika siku zijazo, Yakobo atatia mizizi, 2 Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, 2 naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall cause them that come of Jacob to take root: Israel shall blossom and bud, and fill the face of the world with fruit.

In Context

5Au niwaache waje kwangu kwa ajili ya kupata kimbilio, 2 wao na wafanye amani nami, 2 naam, wafanye amani nami.” 1

7Je, Bwana amempiga 2 vile alivyowapiga wale waliompiga? 1 Je, yeye ameuawa 2 vile walivyouawa wale waliomuua yeye? 1

Read all of Isaiah 27

Cross References

Isaiah 6:13Hata kama sehemu ya kumi ya watu watabaki katika nchi, 2 itaharibiwa tena. 1 Lakini kama vile mvinje na mwaloni 2 ibakizavyo visiki inapokatwa, 2 ndivyo mbegu takatifu 2 itakavyokuwa kisiki katika nchi.”

Isaiah 49:20Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wako 2 bado watakuambia, 1 ‘Mahali hapa ni finyu sana kwetu, 2 tupe eneo kubwa zaidi la kuishi.’ 1

Isaiah 60:22Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu, 2 mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu. 1 Mimi ndimi Bwana; 2 katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”

Hosea 2:23Nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; 2 nami nitaonyesha pendo langu kwake 2 yule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu. + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ruhama.’ 1 Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’ + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ami. 2 ‘Ninyi ni watu wangu’; 2 nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”

Hosea 14:6matawi yake yatatanda. 1 Fahari yake itakuwa kama mti wa mzeituni, 2 harufu yake nzuri kama mwerezi wa Lebanoni. 1

Zechariah 10:8Nitawaashiria na kuwakusanya ndani. 2 Hakika nitawakomboa, 1 nao watakuwa wengi 2 kama walivyokuwa mwanzoni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 27:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 27:5Isaiah 27Isaiah 27:7 →