The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 27 › Isaiah 27:7

Isaiah 27:7

Je, Bwana amempiga 2 vile alivyowapiga wale waliompiga? 1 Je, yeye ameuawa 2 vile walivyouawa wale waliomuua yeye? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hath he smitten him, as he smote those that smote him? or is he slain according to the slaughter of them that are slain by him?

In Context

6Katika siku zijazo, Yakobo atatia mizizi, 2 Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, 2 naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda. 1

8Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1

Read all of Isaiah 27

Cross References

Isaiah 14:22Bwana Mwenye Nguvu Zote asema, 2 “Nitainuka dhidi yao, 1 nitalikatilia mbali jina lake kutoka Babeli pamoja na watu wake walionusurika, 2 watoto wake na wazao wake,” 4 asema Bwana. 1

Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.

Jeremiah 30:11Mimi niko pamoja nawe, nami nitakuokoa,’ 2 asema Bwana. 1 ‘Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote 2 ambamo miongoni mwao nimewatawanya, 2 sitawaangamiza ninyi kabisa. 1 Nitawaadhibu, lakini kwa haki. 2 Sitawaacha kabisa bila adhabu.’

Jeremiah 50:40Kama vile Mungu alivyoangamiza Sodoma na Gomora 2 pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,” 4 asema Bwana, 1 “vivyo hivyo hakuna mtu yeyote 2 atakayeishi humo. 1 Naam, hakuna mtu yeyote 2 atakayekaa humo. 1

Daniel 2:31“Ee mfalme, ulitazama, na mbele yako ilisimama sanamu kubwa, kubwa mno kupita kiasi, sanamu iliyongʼaa na kutisha kwa kuonekana kwake.

Nahum 3:19Hakuna kitu kinachoweza kuponya jeraha lako; 2 jeraha lako ni la kukuua. 1 Kila anayesikia habari zako, 2 hupiga makofi kwa kuanguka kwako, 1 kwa kuwa ni nani ambaye hajaguswa 2 na ukatili wako usio na mwisho?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 27:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 27:6Isaiah 27Isaiah 27:8 →